1 Chronicles 2:24

24 aBaada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.
Copyright information for SwhKC